Monday, May 12, 2014

LUPITA NYONG'O ANAMDATE RAPPER K'NAAN?


Kuna habari Hollywood sinderela Lupita Nyong'o ameanza kumdate rapper raia wa Kanada mwenye asaili ya Somali K'naan.
Lupita amekuwa akikili hadharani kupenda muziki wa Knaan, lakini watu wa karibu naye wanasema si kupenda muziki bibie anapenda kikweli na amezama kimapenzi kwa rapa huyo. 
Mhariri wetu wa burudani DMk anaendelea kufuatilia habari hizo.

1 comment:

  1. Kama kweli ni Muandishi wa habari unaweza kufanya research kabla ya kuuliza swali. Hawa wana date for a while kabla ya hata huyu binti hajashinda tuzo, wanadate kwa muda mrefu sana. http://www.usmagazine.com/celebrity-news/news/lupita-nyongo-boyfriend-knaan-get-affectionate-in-brooklyn-201485,

    ReplyDelete